JINSI YA KUJIKINGA KUTOKANA NA MAAMBUKIZI YA COVID 19

Ni njia zipi tunawezatumia kujikinga dhidi ya kupata ugonjwa wa COVID 19 tunapokua nje? Kuna baadhi ya maelezo potovu yanayosambazwa kuhusiana na mbinu za kukabiliana na ugonjwa huu. Ni vizuri tupate ukweli. Sikiliza mchezo huu wa kuigiza ulioandaliwa na redio ya jamii ya Mtaani jijini Nairobi.

.

Share This