Umuhimu wa kukaa mbali na wenzio wakati huu wa COVID 19

Je, ni kwa nini tunafaa kuzingatia umbali wa mita mbili kutoka kwa wenzetu katika kupampana na ugonjwa wa COVID 19? Sikiliza mchezo huu wa kuigiza ulioandaliwa na redio ya jamii ya Mtaani jijini Nairobi.

.

Share This