by | Oct 19, 2018

Miradi Hoi Dagoretti

Miradi mingi chini ya serikali za gatuzi zililenga kumnufaisha mwananchi.Hata hivyo, miradi hizo huchukua muda mwingi kukamilika. Hali hii inamuathiri zaidi mwananchi wa kawaida mashinani.

Share This