UNYANYAPAA~COVID-19

Mojawapo ya changamoto kubwa ya kisaikolojia inayohusianan na ugonjwa wa COVID 19 ni unyanyapaa. Je ni kwa nini tunafaa kujiepusha na unyanyapaa? Pata maelezo kupitia mchezo huu wa kuigiza ulioandaliwa na redio ya jamii ya Mtaani.

Share This